Mark 7:6-7

6 aIsa akawajibu, “Nabii Isaya alisema ukweli alipotabiri juu yenu, ninyi wanafiki. Kama ilivyoandikwa: “ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao,
lakini mioyo yao iko mbali nami.

7 bHuniabudu bure,
nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’

Copyright information for SwhKC